Pages

Monday, April 18, 2011

VURUGU ZA WANAFUNZI WA SEKONDARI ZILIANZIA HAPA ASKARI WA USALAMA BARABARANI AKIWAANGALIA.

Askari wa usalama barabarani Manispaa ya Morogoro akiwaangalia wanafunzi wa shule za sekondari katika manispa hiyo wakizuia kupita kwa magari kisa kutopatiwa lift kuelekea shuleni kipindi hiki cha masika.

No comments:

Post a Comment

About Rural 2 Urban Skoolz

My photo
Dar es Salaam, Tanzania