Pages

Monday, April 18, 2011

Shule za Sekondari Tanzania: Wanafunzi wengi, fedha kidogo

Baada ya ongezeko kubwa la uandikishaji wa wanafunzi wa elimu ya msingi, Serikali
ya Tanzania inatekeleza programu yenye matarajio makubwa ya kupanua elimu ya
sekondari. Hata hivyo, upanuzi huu umeleta changamoto nyingine upande wa rasilimali,
na kuna maswali mengi juu ya namna sera hii inavyotekelezwa. Je, fedha zinapelekwa
kwa utaratibu mzuri? Shule zinapokea fedha kwa wakati? Kiasi kinachofika kinatosha?
Muda wa kupata fedha unatabirika? Je, kuna uwajibikaji kwa kushindwa kutekeleza sera?
Je, utaratibu mzima wa kutiririsha fedha unahusianaje na ubora wa elimu na utendaji?

No comments:

Post a Comment

About Rural 2 Urban Skoolz

My photo
Dar es Salaam, Tanzania