Kipindi cha dalaldala kinacho rushwa kila siku I.T.V .Walifika mkoani tanga kujua mabo yanoyohusu tanga na kufanya mahojiano na wanachuo.
Baadhi ya wanafunzin wa Eckenford Tanga Univertisty wakibadilishana mawazo za timu ya daladala.


(Timu nzima ya Daladala iliyokuwepo jijini Tanga ni pamoja na Dani Kijo na Bi Kiroboto ambao ni watangazaji. Wengine ni Eldad Mark Film Director, Emanuel Zing Driver, Deogratius Sizya Camera man, Tanya creative producer, Anton second driver na Steve Martin researcher.)
No comments:
Post a Comment